×

Miss Shepu

Walioingia Top 5

TAYARItumeingia katika raundi nyingine kabisa ambapo msomaji unatakiwa kumchagua mtu ambaye anastahili kuchukua tuzo. Hawa hapa chini, ni wale waliofanikiwa kuingia TOP FIVE ya shindano letu.

Sasa kilichobaki kwako msomaji kuchagua ni mshiriki aliye na shepu bomba ambaye anastahili kujinyakulia tuzo hii.

Atakayepata kura nyingi, ataendelea na yule mwenye kura chache, atatoka.

Namba yetu ni ileile ya 0718069269 ambapo utatakiwa kutuma sms kwa kuandika neno APITE kisha unaweka jina lake na moja kwa moja kura yako itaingizwa katika kiboksi cha kura na kuhesabiwa kuona ni nani aliyetoka na yupi anaendelea.

Tangu mwanzo mpaka sasa hivi tulifanikiwa kupata zaidi ya washiriki kumi na mbili lakini mwisho wa siku, ni watano tu ndiyo waliofanikiwa kuvuka na kuingia hatua hii ya mwisho-mwisho.

Kura yako ni muhimu mno, hakuna atakayewakabidhi zawadi washindi pasipo kupiga kura. Piga kura uwezavyo ili mmoja wapo ajinyakulie tiketi ya kwenda Dubai kufanya shopping.

Leave a Comment