×


RisasiAMBER RUTTY AIBUKA KIVINGINE

MSANII chipukizi wa Bongo Fleva, Rutyfiya Abubakary ‘Amber Rutty’ amevunja ukimya wa muonekano wake baada ya kuibuka kivingine. Kwa mujibu wa chanzo, Amber ameamua kubadilika…

SOMA ZAIDI

MREMBO ALIYETWAA TAJI CHINA AFUNGUKA

MREMBO Anitha Mlay aliyeshika nafasi ya pili katika Shindano la Kimataifa la Mazingira la Miss Landscape nchini China, amefungukia safari yake hiyo na shindano hilo…

SOMA ZAIDIQ CHILLA ‘AOTA’ KURUDIA ENZI

MWANAMUZIKI wa Kizazi Kipya, Abubakary Katwila ‘Q-Chillah’ amejitapa kurudi katika gemu la muziki kama ilivyokuwa mwanzoni mwa miaka ya 2000 alipokuwa akitamba na ngoma mbalimbali…

SOMA ZAIDI

DAVINA: SITAKI KUTUMIKA TENA

Muigizaji mkongwe Bongo Muvi, Halima Yahaya ‘Davina’ amefunguka kuwa hapendi tena kutumika kwa wanaume ambao hawana msimamo katika maisha yake dhidi ya kujizeesha.    Akizungumza…

SOMA ZAIDI

LULU DIVA AMFUNGUKIA RIYAMA

STAA wa Bongo Fleva ambaye, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ amemfungukia staa mwenzake kwenye tasnia ya filamu Bongo, Riyama Ally kuwa anajua kuvaa uhalisia hadi kero….

SOMA ZAIDI

MFANYE MUMEO AWAHI NYUMBANI

SIPENDI na wala sitaki kusikia kwani unamkosesha raha mtoto wa mwenzio, kuku wako mwenyewe kwa nini akushikie manati. Kwa nini uishi na mumeo kama kaka…

SOMA ZAIDIUCHEBE AFUNGUKA KUMDUNDA SHILOLE

MUME wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ Ashiraf Uchebe, amesema tangu aanze kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanamuziki huyo mpaka anamuoa hajawahi…

SOMA ZAIDI

HUSNA MAULID: UYATIMA UMENIFUNDISHA MAISHA

MREMBOambaye amewahi kushiriki mashindano mbalimbali ya urembo nchini Husna Maulid, amesema uyatima umemfanya ayajue maisha mapema kwani mpaka sasa angekuwa hajaanza kujitegemea.   Akizungumza na…

SOMA ZAIDI


ALIYEKATWA MIKONO ASHTUA WENGI!

MARIAMU Staford ni mwanamke mwenye ualibino aliyefanyiwa unyama wa kutisha wa kukatwa mikono yake yote mwaka 2008 akiwa nyumbani kwao katika Kijiji cha Ntobeye Wilaya…

SOMA ZAIDI

PUNGUZA MAJI UGALI UIVE

NASHUKURU kwa wote mlionipongeza kwa kupata mafunzo ambayo hawakuyapata hapo awali, siyo wote wamepitia mafunzo ya utaratibu wa maisha wa jando au unyago.  Kutokana na…

SOMA ZAIDI

IRENE PAUL AMKATAA MONDI

Msanii wa filamu za Kibongo, Irene Paul, amemkataa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kwa kusema hawezi na hatarajii kuwa Team Mondi kama…

SOMA ZAIDI


NELLY AYASIKITIKIA MAISHA YA UJANA

Mwanamitindo na mrembo ambaye ameshika mataji mbalimbali Bongo likiwemo la Miss Universe Tanzania 2011,amefunguka hakuna kitu anachosikitikia kama ujana ambao warembo mbalimbali wanapitia.  Akipiga stori…

SOMA ZAIDI

 LULU AJIRI BODIGADI WA KIKE

 MWANAMUZIKI anayetamba na wimbo wa Mapopo ulio hewani kwa sasa, Lulu Abasi ‘Lulu Diva’ baada ya pesa kumtembelea ameajiri bodigadi wa kike tofauti na wanamuziki…

SOMA ZAIDI


spotiXtra


Global TV Online