×

Shinda Samsung A25 Mpya. Meridianbet Yaja na Fursa Kwa Wateja Wake

Kampuni inayoongoza kwa michezo ya kubashiri na kasino mtandaoni, Meridianbet, kwa mara nyingine tena imedhihirisha kuwa mfalme wa promosheni barani Afrika. Ikiwa bado kumbukumbu za promosheni zilizotikisa kwenye michezo kama Superheli, Expanse Tournament, Wild White Whale na Aviator hazijafutika, sasa Meridianbet imeleta ofa mpya kabambe ambayo ni “Jisajili, cheza na ushinde” ikiwa na zawadi ya simu mpya aina ya Samsung A25.

Kuanzia tarehe 01 Julai 2025 hadi 31 Julai 2025, kila mteja anayejiunga na Meridianbet, kuweka dau na kucheza mchezo wowote ule, iwe ni mchezo wa kasino mtandaoni au wa kubashiri, anaingia moja kwa moja kwenye droo ya kushinda simu ya kisasa kabisa. Ndio, ni kweli kabisa, ni zawadi kubwa isiyohitaji masharti magumu.

NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

Kinachohitajika ni hatua rahisi tu, Jisajili, weka dau, na ucheze. Hakuna mipaka ya aina ya mchezo mradi tu isiwe mfumo wa system ticket au cash out, tiketi yako inahesabika kwenye droo kubwa itakayofanyika tarehe 01 Agosti 2025. Na washindi watatangazwa siku hiyohiyo.

Hii ni fursa ambayo haitakiwi kupuuzwa. Ukitazama kwa undani, Meridianbet hawabagui mtu. Kila mtu ana nafasi sawa, iwe ni mchezaji mpya au wa zamani, suala la muhimu ni umefuata masharti yaliyowekwa. Kila dau unaloweka linaongeza uwezekano wako wa kujinyakulia simu mpya.

Hivyo basi, huu ndio wakati wako. Usikae pembeni. Tembelea tovuti ya Meridianbet au pakua application rasmi, jisajili kwa urahisi na anza kucheza. Kumbuka, kadri unavyocheza ndivyo nafasi yako ya kushinda inavyoongezeka. Samsung A25 inakusubiri, wewe ni miongoni mwa washindi wa kesho.