The House of Favourite Newspapers

FFU Yatawanya Wanachuo Waliokuwa Wakiandamana Dar

0

Polisi dar (2) Polisi dar (3)

Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha St. Joseph Kampasi ya Dar es Salaam akitapatapa wakati polisi wakiwatawanya wanafunzi hao leo Jijini Dar.

Polisi dar (1)Polisi wakiwatawanya wanafunzi hao.

Leo Jumatatu Feb. 29, Jeshi la Polisi jijini Dar, Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) limelazimika kutumia nguvu kuwatawanya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha St. Joseph Kampasi ya Dar es Salaamwaliokuwa wakiandama kuelekea Makao Makuu ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Mafunzo ya Ufundi kudai kushinikiza chuo hicho (Kampasi) Kampasi ya Arusha kifunguliwe baada ya tawi hilo kufungiwa na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) wiki iliyopita.

Picha na Avila Kakingo wa Globu ya Jamii.

Leave A Reply