
Mashabiki wa soka, leo ni usiku wa burudani ya hali ya juu kutoka viwanja vya Ulaya. Na wale wabashiri hamjaachwa nyuma, Meridianbet imeweka odds za kuvutia na chaguo mbalimbali kwa kila mchezaji mwenye kiu ya ushindi. Usikose nafasi yako ya kubashiri mechi kali zinazotarajiwa kuvuta hisia za mashabiki kote duniani.
Ufaransa ndani ya Ligue 1, Paris Saint-Germain wanarudi Parc des Princes wakitafuta pointi tatu muhimu dhidi ya Strasbourg. PSG ametoka kupata sare dhidi ya Lille huku Strasbourg akimchapa Angers kipigo kitakatifu cha mabao 5-0. Meridianbet imeweka odds za kuvutia kwa machaguo mbalimbali. Hii ni mechi ya kutengeneza faida.
Burudani inarudi Bundesliga mnamo saa 21:30 usiku kwenye mtanange wa nguvu kati ya Union Berlin na Borussia M’Gladbach. Timu zote zinahitaji ushindi kujiweka vizuri kwenye msimamo wa ligi huku M’gladbach akiwa na hali mbaya mwishoni mwa msimamo. Bashiri matokeo ya mchezo huu uianze wikiendi na utajiri wa Meridianbet.
Mbali na michezo ya ligi, Meridianbet pia inakuletea michezo ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
La Liga napo ni pamoto usiku wa leo. Tunashuhudia mechi ya ushindani mkubwa kati ya Real Oviedo na Espanyol. Ni timu zenye utofauti wa alama sita mpaka sasa. Wakati Espanyol akijaribu kuongeza utofauti wa alama, Oviedo anahitaji kupunguza ukubwa wa alama hizo. Meridianbet imeweka odds za kipekee kwa mashabiki wa soka la Uhispania.
Tukirudi nchini Uingereza, Championship inatupa burudani ya kipekee kati ya Middlesbrough na Ipswich Town. Timu hizi zinapigania nafasi ya kupanda daraja. Odds za mchezo huu ni kubwa sana kwa ajili yako mbashiri.
Meridianbet imeweka mazingira bora kwa kila mbashiri, odds za ushindani, machaguo ya kipekee, na urahisi wa kuweka dau. Usikubali kupitwa na mechi hizi za moto. Tembelea Meridianbet sasa na uweke dau lako kabla ya kipenga cha mwisho.