Rais Samia Aunda Tume ya Uchunguzi Huru wa Matukio ya Amani Kabla na Baada ya Uchaguzi

Rais Samia Suluhu Hassan ameunda tume huru ya kufanya uchunguzi wa matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea nchini wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025.
Swipe kusoma taarifa kamili.
Tufuatilie kupitia YouTube ya Global TV, like, comment ili kuendelea kuhabarika kila siku kwa habari mbalimbali zenye ukweli na uhakika.


