The House of Favourite Newspapers
gunners X

Waziri Mkuu Mwigulu Azungumza na Katibu Mkuu wa TEC, Padri Kitima Dar

0

Waziri Mkuu, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, Novemba 20, 2025 amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima, katika Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam.

Leave A Reply