ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA:
“Kaka Cheni bwana,” niliita kwa sauti ya chini sana lakini yenye kuashiria kumfokea.
“Hivi wewe husikii au? Si nimesema uje nikutume dukani sasa hivi,” mama alirudia kuniita.
TAMBAA NAYO SASA…
“Kaka Cheni umesikia? Noma bwana.”
Yaani licha ya kusema hivyo lakini kaka Cheni hakuniachia, alizidi kuning’ang’ania kwa kutumia nguvu zake zote huku akijua kabisa kwamba naitwa na mama…
“Jamani kaka Cheni…ndiyo nini sasa hivyo?” nilijikuta nimesema kwa sauti…
“Wewe unaongea na nani humo chumbani?” mama aliuliza huku sauti yake ikija mlangoni kwangu…
“Mungu wangu, kimeshanuka,” nilisema.
Kaka Cheni alipanda juu ya kabati, akarukia upande wa pili wa chumbani kwake lakini bila kusababisha kishindo chini…
“Naongea na simu mama.”
“Na nani?” aliuliza mama akiwa ameshafungua mlango wa chumbani kwangu na kuingia…
“Rafiki yangu…”
“Anaitwa nani?”
“Chenie.”
Mama alisimama, akaniangalia, akageuka na kuondoka.
Nilimjibu hivyo mama kwa kulitaja jina la Chenie ambaye wala hayupo baada ya akili zangu kufanya kazi haraka sana na kubaini kwamba, alisikia niliposema; jamani kaka Cheni…ndiyo ni sasa hivyo?’
Kwa hiyo aliposikia jina la Chenie, aliunga akilini mwake akajua ni kweli maana yeye alilifananisha jina hilo na la Cheni.
Wakati kijua kimetoka zaidi na baba akiwa bado amekaa nje, kaka Cheni alinitumia meseji…
“Oya! Mdingi bado hapo?”
“Bado, nilikwenda dukani, nimerudi nimemkuta. Lakini kwa vile hasira zake yeye zinatokana na kuamini umelala nje ya nyumbani, toka uwaambie ulilala usingizi wa fofofo.”
“Poa, natoka sasa hivi,” alisema kaka Cheni, nikawa nimekaa jikoni nikimsikilizia tu atakavyotoka na jinsi baba atakavyowaka.
Mara, mama alitoka akakaa sambamba na mume wake, yaani baba. Mara, nikasikia mlango wa chumbani kwa kaka Cheni unafunguliwa, mama na baba wakatumbulia macho upande huo huku mimi moyoni nikijua kila kitu lakini nikawa kama sijui.
Kaka Cheni alitokea akiwa ndani ya bukta, juu alivaa singilendi. Alipokuja kwangu hakuwa na singilendi, alikuwa tumbo wazi na bustani ya mapenzi kifuani. Jamani kaka Cheni, kwa vile tu ni kaka la sivyo ningesema anioe tujue moja.
Alikuwa amekunja uso huku akijifikicha macho kwa mkono ili aonekane kwamba ndiyo anatoka kuamka…
“Wewe unataka kutuaminisha kwamba ulikuwa bado umelala?” mama alimuuliza kaka Cheni…
“Ndiyo mama, ndiyo natoka kuamka muda huu.”
Alichofanya baba, alisimama akatembea, akampita kaka Cheni akaingia chumbani kwake. Alichukua kama dakika tatu, akatoka…
“Una bahati sana wewe, kama ningekuta mwanamke ndani kwako ndiyo ungenitambua mimi nani,” alisema baba baada ya kutoka.
Nilimwona kaka Cheni akiachia tabasamu lakini huku akikaa jirani na baba kama vile anayesema amekuwa mtoto mzuri.
“Hodi wenyewe,” mzee mmoja anaitwa Chakumega aliingia.
Baba akamkaribisha kiti lakini akasema hakai.
“Nimeleta taarifa, mzee Mteremko amefariki dunia sasa hivi.”
Baba na mama walishtuka sana, kwani mzee Mteremko alikuwa mtu wa karibu sana na familia yetu.
Palepale wazazi walisimama wote wakaongozana na mzee Chakumega kwenda msibani.
Nyumbani tulibaki mimi na kaka Cheni. Kutoka nyumbani kwenda kwa mzee Mteremko ni kama dakika 45, kwa hiyo kwenda na kurudi ni dakika 90.
Mara mama alirudi, akaniambia.
“Huenda sisi hatutarudi leo, mjitegemee wenyewe ilimradi mboga zipo, unga upo na mkate upo, kunyweni chai, msizurure hovyo.”
“Sawa mama,” kaka Cheni aliwahi kusema kuliko mimi.
Mama alipoondoka tu, kama baada ya dakika kumi, kaka Cheni akaniitia chumbani kwake…
“Unasemaje bro?”
“Ukisikia raha ndiyo hii. Leo ni kujirusha mwanzo mwisho au unasemaje?” aliniuliza huku akinikumbatia wakati mwenzake kukumbatiwa tu nakuwa hoi bin taaban…
“We…we tu,” nilisema kwa sauti ya kukatakata maana nilishazidiwa na hali ya joto la mwili.
Kaka Cheni alikwenda mlangoni akaufunga, akarudi na kunikuta nimeshapanda kitandani mwenyewe…
“Lakini kaka Cheni, mama hawezi kurudi kweli? Kwa nini tusisubiri muda uende kidogo?”
“Hamna, hawawezi. Wale wameondoka wanalia, si ulimuona mama?”
“Haya.”
Tuliingia uwanjani, tukasakata kandanda huku nikimuuliza kaka Cheni kuhusu zana…
“Unaogopa nini? Kwa hali hii tunaweza kuitafutia wapi?”
Kaka Cheni alibana kwelikweli maana alijua tuko huru.
“Cheni,” nilimuita kwa sauti iliyojaa mahaba…
“Yes.”
“Kwa nini tusioane jamani?”
“Kivipi sasa?”
“Tuhame nyumbani.”
“Mh! Noma sista, wewe sista wangu ujue, jamii itatushangaa sana,” aliniambia.
“Usista na ukaka umeisha mbona!”
“Mh! Wewe una hatari.”
Nilipomwona kaka Cheni anaongeza kasi nikajua amefika pazuri sasa ndiyo maana anaongeza spidi ya farasi.
“Ngongongo…ngongo ngo,” mlango wa kaka Cheni uligongwa, nikatoka kasi kitandani na kuingia chini ya kitanda huku nikilia machozi kwani nilijua kama si baba ni mama amerudi…
“We nani unayegonga mlango?” kaka Cheni aliuliza kwa sauti ya juu na kusikilizia majibu.
Je, nani aliyeuliza hivyo? Na nini kiliendelea? Usikose kusoma wiki ijayo.