×

Chudo Bright aota levo za Bella

Stori: Mwandishi wetu

Msanii anayeunda Bendi ya Hamadombe, Chudo Bright amesema anamkubali sana msanii wa Malaika Band, Christian Bella huku akieleza kuwa, jamaa huyo ndiye rolel model wake.

Chudo ambaye ameonesha uwezo mkubwa wa kuimba kwenye nyimbo zao kama vile She is Beatiful, Bila Haya na nyingine amesema siku zote amekuwa akiota kufikia ndoto za jamaa huyo na anaamini ‘one day yes’.

“Niko Hamadombe lakini hapa ni daraja tu, ndoto zangu ni kufikia mafanikio aliyonayo Bella, nasali, naomba nifikie levo hizo,” alisema Chudo.

Leave a Comment