×


Ijumaa

ETO’O AMPIGIA SALUTI DIAMOND

DAR ES SALAAM: KISMATI! Ukiona hadi staa mwenzako anakupa heshima, jua unachofanya ni kikubwa! Nahodha wa zamani wa Timu ya Taifa ya Cameroon, Klabu ya…

SOMA ZAIDI
40 YA MENGI, K- LYNN AFUNGUKA

WaKaTi leo (Jumatatu) aliyekuwa mfanyabiashara bilionea bongo, Dk reginald abraham Mengi, akitimiza siku 40 tangu afariki dunia, mjane wake Jacqueline Ntuyabaliwe ‘K-Lynn’ amefuguka kuhusu kipindi…

SOMA ZAIDI

WAHUNI SI WATU WAZURI

Ama kweli wahuni si watu wazuri! hivyo ndivyo unavyoweza kusema kufuatia tukio la kijana Said Nassoro, mkazi wa Tandika jijini Dar kuchomwa moto sehemu za…

SOMA ZAIDI

MBUNGE: NIMEPAKWA KINYESI GEREZANI

DAR ES SALAAM: Mbunge wa Tarime Mjini kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleao (Chadema), Ester Matiko amefunguka mambo mazito ikiwemo kupakwa kinyesi cha…

SOMA ZAIDI

NANDY APINDUA MEZA MDOGOMDOGO

FEBRUARI 9, 2017 bado itaendelea kubaki kama kumbukumbu katika kichwa cha mwanadada mrembo anayetikisa Bongo Flevani, Faustina Charles Mfinanga anayetumia majina ya Nandy au The…

SOMA ZAIDI

KUMBE AUNT NA IYOBO MAMBO POA TU!

Mwanamama wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel amesema kuwa pamoja na kwamba hayupo tena kimapenzi na mzazi mwenzake, Mose Iyobo ‘Moze’ lakini ukweli ni kwamba wako…

SOMA ZAIDI
NIPE , NIKUPE NDO’ UTAMU WA PENZI!

NI IJUMAA nyingine tulivu kabisa mpenzi msomaji tunakutana tena kwenye uwanja wetu maridhawa kabisa kupeana elimu ya uhusiano baada ya juzi na jana kusherehekea Sikukuu…

SOMA ZAIDIMAIMARTHA: SIMCHUKII ZARI, NI KAZI TU!

Mtangazaji Maimartha Jesse amedai kuwa hamchukii mzazi mwenzake na mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ Zarinah Hassan ‘Zari’ kama watu wanavyodhani bali ni kazi yake kama…

SOMA ZAIDI

MPENZI WAKO ANAKUOMBA SANA FEDHA ?

 HII INAKUHUSU Ipo dhana iliyojengeka kwenye vichwa vya watu wengi, wanaume kwa wanawake kwamba unapokuwa na mpenzi ambaye mara kwa mara anakuomba fedha, tambua kwamba…

SOMA ZAIDI


spotiXtra


Global TV Online