×

Ajira Mpya Zatangazwa Ubalozi wa Marekani Dar, Maombi Mwisho Aprili 27

Ubalozi wa Marekani Dar es Salaam unakaribisha waombaji wenye sifa na wanaohitaji kujiendeleza kitaaluma kuwasilisha maombi yao kwa nafasi zifuatazo:

Nafasi Zilizopo

  1. Mtaalamu wa Uratibu wa Maudhui ya Kimkakati (Strategic Content Coordination Specialist)
  2. Msaidizi wa Rasilimali Watu (Human Resources Assistant)

Waombaji wanapaswa kuhakikisha kuwa wanakidhi masharti yote kabla ya kutuma maombi yao.

BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI >>> NAFASI ZA KAZI UBALOZI WA MAREKANI

Leave a Comment