
Ubalozi wa Marekani Dar es Salaam unakaribisha waombaji wenye sifa na wanaohitaji kujiendeleza kitaaluma kuwasilisha maombi yao kwa nafasi zifuatazo:
Nafasi Zilizopo
- Mtaalamu wa Uratibu wa Maudhui ya Kimkakati (Strategic Content Coordination Specialist)
- Msaidizi wa Rasilimali Watu (Human Resources Assistant)
Waombaji wanapaswa kuhakikisha kuwa wanakidhi masharti yote kabla ya kutuma maombi yao.
BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI >>> NAFASI ZA KAZI UBALOZI WA MAREKANI

