
Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano kwa kushirikiana na wakala binafsi wa ajira HAIBI inapenda kuwatangazia Watanzania wote nafasi 1000 za wapishi wa kiume nchini Oman.
Sifa za mwombaji:
- Awe na uzoefu wa kazi ya upishi
- Awe na afya njema
- Awe tayari kufanya kazi nje ya nchi
- Awe na nidhamu na uwezo wa kufanya kazi kwa bidii
Faida:
- Mshahara mzuri
- Malazi yatatolewa
- Fursa ya kufanya kazi katika mazingira ya kimataifa
Mwisho wa kutuma maombi:
21 Aprili 2026
