×

Nafasi ya Kazi: Shop Sales Attendant Posta, Dar es Salaam

Duka la rejareja lililopo Posta linatafuta Shop Sales Attendant mwenye uwezo wa kuuza dukani na pia kusaidia kutangaza bidhaa mtandaoni.

Mahali: Posta, Dar es Salaam

Sifa za Mwombaji

  • Awe amemaliza elimu ya Form IV au zaidi
  • Awe active kwenye mitandao ya kijamii (TikTok, Instagram, Facebook)
  • Awe na angalau followers 1,000 kwenye TikTok
  • Awe na uwezo wa kupost na kutangaza bidhaa mtandaoni
  • Mwaminifu, mwenye nidhamu na huduma nzuri kwa wateja
  • Uzoefu wa mauzo ni bonus

🛒 Majukumu

  • Kuhudumia wateja na kufanya mauzo dukani
  • Kurekodi mauzo ya kila siku na kuandaa ripoti rahisi
  • Kutangaza bidhaa kwenye mitandao ya kijamii (TikTok, Instagram n.k.)
  • Kusaidia kupanga na kuendesha shughuli za duka
  • Kusaidia shughuli za masoko kuongeza mauzo

💰 Mshahara: Tsh 400,000 kwa mwezi

📲 Jinsi ya Kuomba (WhatsApp tu)

Tuma maombi kwa: +255703 854 777

Weka taarifa zifuatazo:

  • Jina kamili
  • Umri
  • Mahali unapoishi
  • Kiwango cha elimu

⚠️ Tahadhari:
Waombaji watakaokidhi vigezo pekee ndio watakaowasiliana nao.
📍 Nafasi hii ni kwa wanawake wanaoishi Dar es Salaam pekee.

Leave a Comment