×

Redmi A7 Pro Rasmi Imeanza Kuuzwa Tanzania, Piga/WhatsApp 0767160164 Ujipatie Simu

Xiaomi Tanzania inajivunia kutangaza uzinduzi rasmi wa simu mpya ya Redmi A7 Pro,iliyoingia rasmi sokoni. Simu hii imetengenezwa kwa ajili ya watumiaji wanaohitaji zaidi ubora, nguvu, na muonekano wa kisasa.

Redmi A7 Pro inakuja na skrini kubwa ya inchi 6.9 inayotoa uzoefu mpana na wa kuvutia kwa ajili ya burudani, kuperuzi na matumizi ya kila siku. Ndani yake kuna prosesa yenye nguvu ya octa-core inayohakikisha matumizi laini bila kusuasua.

Simu hii pia ina betri kubwa ya 6,000mAh inayokuwezesha kutumia siku nzima bila kuwa na wasiwasi wa kuchaji mara kwa mara. Inatumia Xiaomi HyperOS ambayo inaleta matumizi rahisi, ya haraka na yenye akili zaidi.

Kwa wapenda picha, Redmi A7 Pro ina kamera ya 13MP AI dual camera inayokuwezesha kupiga picha zilizo wazi, zenye ubora na kumbukumbu nzuri.

Vitu vyote hivi vimefungwa ndani ya muundo mwembamba na wa kuvutia unaoifanya simu hii kuonekana ya kipekee kila unapoitumia.

Kwa Redmi A7 Pro, Xiaomi inaendelea kuleta teknolojia bora kwa bei nafuu kwa watumiaji wengi zaidi.

Redmi A7 Pro inapatikana rasmi kuanzia leo tarehe 30 Aprili kupitia maduka yote ya Xiaomi na washirika wake, kwa maelezo zaidi @xiaomi_tzofficial au Piga/WhatsApp 0767160164

Leave a Comment