×

Arsenal vs West Ham ni Vita ya Ubingwa na Kushuka Daraja leo

Leo Mei 10 saa 6:30 usiku Uwanja wa London Stadium utakuwa mwenyeji wa mchezo wa Ligi Kuu kati ya West Ham United iliyopo nafuasi ya 18 na Arsenal inayoshikilia  nafasi ya 1.

Arsenal wakiongoza Ligi wakiwa na pointi 76, wakiwa na pointi 6 mbele ya Manchester City ingawa wamecheza mechi mbili zaidi, hivyo ushindi ni lazima kwa ajili ya kuendelea kukaa katika harakati za ubingwa. West Ham wakiwa na pointi 36 wamo kwenye eneo la kushuka daraja, na wana hatari ya kuteremeka ikiwa hawatapata matokeo mazuri katika mechi zilizosalia.

Arsenal wanakuja baada ya ushindi mzuri wa 3-0 dhidi ya Fulham, wakiwa na safu nzuri ya kukosa kushindwa katika mechi nne za mwisho Ligi Kuu. Majeruhi wa Arsenal ni pamoja na Kai Havertz (jeraha la misuli), Mikel Merino (upasuaji wa mguu), na. Upande wa West Ham, wana wasiwasi juu ya kipa wao Łukasz Fabiański ambaye ana jeraha la mgongo, hali inayoweza kuathiri safu yao ya nyuma ambayo tayari imekuwa ikiruhusu mabao mengi msimu huu.

Kihistoria, Arsenal wana ubabe mkubwa dhidi ya West Ham, wakiwa wameshinda mara 69, West Ham wakiwa na ushindi 32, na sare 36 katika michezo yote. Katika michezo mitano ya mwisho ya Ligi Kuu kati ya timu hizi, Arsenal wameshinda mara tatu, West Ham mara moja, na sare moja. Mchezo wa mwisho kati yao Oktoba 2025 ulimalizika kwa ushindi wa 2-0 kwa Arsenal nyumbani kwao, lakini West Ham wamefanikiwa kuwafunga Arsenal uwanjani kwao katika michezo ya hivi karibuni ikiwemo ushindi wa 1-0 Februari 2025.

Ingia kwenye kasi ya kujishindia pesa kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

West Ham wanaingia mchezo huu wakiwa na rekodi nzuri nyumbani, hawajapoteza katika mechi tisa za nyumbani katika mashindano yote tangu Januari. Walakini, wanakuja baada ya kichapo cha 3-0 kutoka kwa Brentford na wana shinikizo kubwa la kuepuka kushuka daraja.

Kwa kuzingatia umuhimu wa mchezo kwa ubingwa wa Arsenal na hatari ya kushuka daraja kwa West Ham, mchezo unatarajiwa kuwa wa kusisimua wenye pembe nyingi za mashambulizi. Arsenal wanachukuliwa kuwa wenye nafasi kubwa ya ushindi kutokana na ubora wa wachezaji na uhodari wao.Hata hivyo, West Ham nyumbani wana nguvu zao na wanapambana kwa uhai wao kusalia Ligi Kuu. Jisajili

Leave a Comment