×

Balozi, jeshi Pakistan watoa madawa kwa Meya Kinondoni

    1.Kutoka kushoto ni,Balozi wa Pakistani hapa Tanzania Amir Mohammed Khan,Meya wa Manispaa ya kinondoni,Boniphace Jacob na Kapteni wa meli ya Kivita iliyopa hapa nchini, Ijaz Ahmad.Kutoka kushoto ni Balozi wa Pakistan hapa Tanzania,  Amir Mohammed Khan, Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Boniphace Jacob na Kapteni wa meli ya kivita iliyopa hapa nchini, Ijaz Ahmad.
2.Kapteni, Ijaz (kulia) akisaini katika kitabu cha wageni kwenye ofisi ya Meye wa Kinondoni.Kapteni Ijaz (kulia) akisaini kitabu cha wageni kwenye ofisi ya Meya wa Kinondoni.
4. Kamanda anayeongoza meli ya kivita kutoka Pakistani,Capteni, Ijaz Ahmad (kulia) akiteta jambo na eya wa Manispaa ya Kinondoni, Boniphace Jacob kwenye ofisi yake.Kamanda Ahmad (kulia) akiteta jambo na Meya Jacob kwenye ofisi yake.
6.Kapteni  Ijaz Ahmad (kulia) akimkabidhi sanduku la dawa Meya Jacob.
7.Wanahabri wakichukua tukio hilo.Wanahabari waliokuwa katika tukio hilo.
8.Baadhi ya box za dawa zilizotolewa.Baadhi ya masanduku ya dawa zilizotolewa.

BALOZI wa Pakistan hapa Tanzania, Amir Mohammed Khan na jeshi la wanamaji la Pakistan likiongozwa na Kapteni Ijaz Ahmad  ambayo lipo Tanzania kwa siku tatu leo wamemtembelea Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Boniphace Jacob, na kumpa masanduku ya dawa za binadamu.

Akizungumza katika hafla hiyo, Balozi Khan alisema  lengo la kutoa zawadi hizo ni kusaidia hospitali za wilaya ya Kinondoni na kuimarisha mahusiano mema baina ya Pakstan na Tanzania.
Naye  Meya wa Kinondoni, Jacob baada ya kupokea msaada huo aliushukuru ubalozi wa Pakistan kwa dawa hizo.

(Na Denis Mtima/Gpl)

Leave a Comment