×
Global Publishers
  • Home
  • Habari
    • Kimataifa
    • Kitaifa
  • Global TV
  • Magazeti
  • Ajira
  • Burudani
    • Audio Music
    • Music Videos
    • Dar Live
  • Michezo
  • Makala
    • Afya
    • Mahaba & Maisha
    • Burudani
    • Hadithi
    • Mikasa
    • Siasa
  1. Home
  2. Habari
  3. CCM, CPC Na Vyama Vya Ukombozi Afrika Waimarisha Ushirikiano Wa Maendeleo

CCM, CPC Na Vyama Vya Ukombozi Afrika Waimarisha Ushirikiano Wa Maendeleo

Global Publishers May 20, 2026 4,102 views 0 Comments
SHARE THIS:

Mkutano huo chini ya wenyeji wa Chama Cha Mapinduzi, ulikuwa sehemu ya ziara ya kikazi ya Komredi Liu Haixing, Mjumbe wa Kamati Kuu na Waziri wa Idara ya Mambo ya Nje wa CPC kutoka China.

Katika mkutano huo, viongozi wa vyama vya ukombozi kutoka ANC, FRELIMO, MPLA, SWAPO na ZANU-PF walijadiliana na CPC kuhusu kuimarisha mshikamano, kubadilishana uzoefu wa kiuongozi na kusukuma ajenda ya maendeleo ya kisasa kwa ustawi wa wananchi wao.

Viongozi hao pia walishiriki uzinduzi wa Kituo cha Tafiti kuhusu Fikra za Xi Jinping juu ya Ujamaa wenye Maono ya Kichina katika Zama Mpya, hatua inayolenga kuimarisha ushirikiano wa kielimu na maendeleo kati ya CCM na CPC.

SHARE THIS:
Previous Next

Related Posts

Rais Samia Akutana na Papa Francis Vatican Leo - Global Publishers HABARI

Rais Samia Akutana na Papa Francis Vatican Leo

February 12, 2024
Tambwe:  Huyu Kichuya ni Hatari Aisee - Global Publishers HABARI

Tambwe: Huyu Kichuya ni Hatari Aisee

October 19, 2016
Halotel Tanzania Yakabidhi Gari Jipya la Promosheni ya 7bang Bang - Global Publishers HABARI

Halotel Tanzania Yakabidhi Gari Jipya la Promosheni ya 7bang Bang

January 5, 2023
Nimekuwa Tajiri Baada ya Kuijua Nyota Yangu ya Biashara na Kuitumia - Global Publishers HABARI

Nimekuwa Tajiri Baada ya Kuijua Nyota Yangu ya Biashara na Kuitumia

May 29, 2023

Leave a Comment Cancel reply

You must be logged in to post a comment.



DAKTARI

GLOBAL TV Online




SIMBA
YANGA
NEWS
Global Publishers
  • About Us
Download on the App Store
Get it on Google Play

© 2026 Global Publishers. All Rights Reserved.

Designed by Yatosha Web Services