×
Global Publishers
  • Home
  • Habari
    • Kimataifa
    • Kitaifa
  • Global TV
  • Magazeti
  • Ajira
  • Burudani
    • Audio Music
    • Music Videos
    • Dar Live
  • Michezo
  • Makala
    • Afya
    • Mahaba & Maisha
    • Burudani
    • Hadithi
    • Mikasa
    • Siasa
  1. Home
  2. Habari
  3. CCM, CPC Na Vyama Vya Ukombozi Afrika Waimarisha Ushirikiano Wa Maendeleo

CCM, CPC Na Vyama Vya Ukombozi Afrika Waimarisha Ushirikiano Wa Maendeleo

Global Publishers May 20, 2026 5,130 views 0 Comments
SHARE THIS:

Mkutano huo chini ya wenyeji wa Chama Cha Mapinduzi, ulikuwa sehemu ya ziara ya kikazi ya Komredi Liu Haixing, Mjumbe wa Kamati Kuu na Waziri wa Idara ya Mambo ya Nje wa CPC kutoka China.

Katika mkutano huo, viongozi wa vyama vya ukombozi kutoka ANC, FRELIMO, MPLA, SWAPO na ZANU-PF walijadiliana na CPC kuhusu kuimarisha mshikamano, kubadilishana uzoefu wa kiuongozi na kusukuma ajenda ya maendeleo ya kisasa kwa ustawi wa wananchi wao.

Viongozi hao pia walishiriki uzinduzi wa Kituo cha Tafiti kuhusu Fikra za Xi Jinping juu ya Ujamaa wenye Maono ya Kichina katika Zama Mpya, hatua inayolenga kuimarisha ushirikiano wa kielimu na maendeleo kati ya CCM na CPC.

SHARE THIS:
Previous Next

Related Posts

Nani Anataka Kumuua Rose Muhando? - Global Publishers FEATURED STORIES

Nani Anataka Kumuua Rose Muhando?

May 15, 2017
Washindi wa Droo ya kwanza ya shinda nyumba wakabidhiwa zawadi zao (Video) - Global Publishers HABARI

Washindi wa Droo ya kwanza ya shinda nyumba wakabidhiwa zawadi zao (Video)

January 13, 2016
Mtangazaji wa Kwanza Kuwait Aliyetengenezwa kwa Teknolojia ya Artificial Inteligence - Global Publishers HABARI

Mtangazaji wa Kwanza Kuwait Aliyetengenezwa kwa Teknolojia ya Artificial Inteligence

April 11, 2023
Rais Samia Akoshwa na NMB, Asema Kazi Iendelee… - Global Publishers HABARI

Rais Samia Akoshwa na NMB, Asema Kazi Iendelee…

August 10, 2024

Leave a Comment Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

DAKTARI

GLOBAL TV Online




SIMBA
YANGA
NEWS
Global Publishers
  • About Us
Download on the App Store
Get it on Google Play

© 2026 Global Publishers. All Rights Reserved.

Designed by Yatosha Web Services