×

Halmashauri ya Wilaya ya Njombe Yatangaza Fursa za Uwekezaji

Halmashauri ya Wilaya ya Njombe kwa kushirikiana na Kituo cha Ubia baina ya Serikali na Sekta Binafsi (PPPC) inakualika kuwekeza katika miradi ifuatayo:

  • Ujenzi wa ukumbi wa kisasa wa mikutano na sherehe
  • Ujenzi wa nyumba za kisasa za kupangisha na biashara
  • Ujenzi wa jengo la kisasa la biashara
  • Ujenzi wa hoteli ya kisasa yenye hadhi ya nyota tatu

Karibu Njombe kuwekeza katika fursa za maendeleo na uchumi endelevu.
Mawasiliano:
Halmashauri ya Wilaya ya Njombe / PPPC
SLP 547 Njombe,
Simu: +255 767 674646
Barua pepe: [email protected] / [email protected]
Tovuti: www.njombedc.go.tz / www.pppc.go.tz

Leave a Comment