
Je, unapenda michezo ya kasino na zawadi kubwa? Meridianbet imezindua promosheni ya Mzuka wa Mabingwa kwa wateja wa Airtel Money, ikikupa nafasi ya kushinda Bajaj, PlayStation 5, Hisense TV, simu janja pamoja na mizunguko ya bure kila siku.
Ili kujiunga, unachotakiwa kufanya ni kuweka angalau TZS 5,000 kupitia Airtel Money na kucheza mchezo wowote wa kasino wenye thamani ya TZS 5,000 au zaidi. Hatua chache tu zinakufungulia mlango wa ushindi mkubwa.
Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya MERIDIANBET au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Kila siku unaweza kujishindia mizunguko 250 ya bure na kuongeza nafasi zako za kuendelea kushinda. Zaidi ya hapo, kila wiki washiriki wenye bahati wanaweza kuondoka na simu janja mpya kupitia droo maalum za promosheni.
Msisimko hauishii hapo. Washindi wakubwa watapata nafasi ya kutwaa PlayStation 5, Hisense TV au hata Bajaj. Hizi ni zawadi ambazo kila kijana anatamani kuwa nazo, na sasa zinaweza kuwa zako kwa kushiriki tu.
Huu ni wakati wa kuonyesha nguvu ya mabingwa. Ingia Meridianbet, tumia Airtel Money kuweka fedha zako na uanze kucheza kasino leo. Ushindi mkubwa unasubiri jina lako litajwe.