×

Video: Maelfu ya Wananchi Wafurika Kuuaga Mwili wa Kamanda Richard Abwao

Mwili wa aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Richard George Abwao, umewasili katika viwanja vya Kikosi cha FFU Mkoa wa Tabora kwa ajili ya ibada ya kuuaga, iliyofanyika Juni 23, 2026.

Mamia ya wananchi wa Mkoa wa Tabora, viongozi wa serikali, vyombo vya ulinzi na usalama pamoja na wadau mbalimbali wamejitokeza kwa wingi kushiriki katika shughuli hiyo ya kuaga mwili wa marehemu Richard George Abwao, aliyewahi kuhudumu kama Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora.

Leave a Comment