Hafla hiyo ilihudhuriwa na Marais wawili, Dkt. Samia Suluhu Hassan wa Tanzania na Daniel Chapo wa Msumbiji, ikisisitiza umuhimu wa mchango wa Vodacom kama mshirika mkuu wa maonesho hayo.

Vodacom Tanzania Yaibuka Kidedea Kwenye Uzinduzi wa Maonesho ya 50 ya Sabasaba 2026
Dar es Salaam, Julai 3, 2025 – Vodacom Tanzania imeonyesha uwezo wake katika Uzinduzi wa Maonesho ya 50 ya Sabasaba 2026, ikinyakua tuzo mbili muhimu. Kampuni hiyo ilitunukiwa tuzo ya nafasi ya tatu kwa jumla ya washindi wa maonesho na tuzo ya nafasi ya pili ya udhamini.
Hafla hiyo ilihudhuriwa na Marais wawili, Dkt. Samia Suluhu Hassan wa Tanzania na Daniel Chapo wa Msumbiji, ikisisitiza umuhimu wa mchango wa Vodacom kama mshirika mkuu wa maonesho hayo.