
Mpaka sasa ni timu 8 ambazo zimebaki kwenye michuano mikubwa Duniani ambapo kila timu inawania nafasi ya kufika Fainali ya michuano hii. Je nani kuondoka na tuzo leo?
Harry Kane ni moja ya wachezaji kutoka Uingereza ambaye pale Meridianbet wanampa nafasi ya kushinda tuzo hii ya mchezaji bora kwenye mashindano haya kwa Odds 9.00, kutokana na ubora ambao anaendelea kuuonesha chini ya Thomas Tuchel.
Kane ni sawa na washambuaji vinara wa Taji la Dunia kwani naye mpaka sasa ana mabao 7 huku timu yao ikiwa ni moja ya timu zinazopewa nafasi ya kufika mbali kwenye michuano hii baada ya kupata matokeo mazuri kwenye mechi walizocheza. Mshambuliaji ambaye anakipiga kule Ujerumani anatarajiwa kuchukua tuzo hii. Je nani kushinda tuzo hii. Tengeneza jamvi hapa.
Kutoka kule Norway pia Erling Haaland naye yupo kwenye kuwania tuzo ya mchezaji bora kutokana na kiwango cha hali ya juu kwenye michuano hii huku mashabiki wengi wa soka wakishangazwa na uwezo wake huo. Haaland pia na yeye mpaka sasa ameweza kufunga mabao 7 kwenye michuano hii huku mabao yake mawili mechi iliyopita yaliweza kuiondosha Brazil kwenye taji la Dunia.

Norway na sasa watamenyana dhidi ya Uingereza kwenye hatua ya Robo Fainali huku Erling akipewa Odds 8.00 na Meridianbet kushinda tuzo ya mchezaji bora. Je mchezaji huyo anaweza akapambania tuzo hiyo?. Jisajili hapa.
Mkwanja mkubwa unakungoja kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Naye Lionel Messi ni mchezaji mwingine ambaye anapewa nafasi ya kushinda tuzo hii kutokana na kiwango ambacho anazidi kukionesha kwenye Taji hili la Dunia huko Marekani. Ikumbukwe kuwa Argentina ndio mabingwa watetezi wa michuano hii na hivi sasa wameingia kwenye hatua ya Robo Fainali.
Mchezaji huyo ndiye kinara wa ufungaji mabao kwenye michuano hii akiwa amrupia kimyani mabao 8 huku akiwa ni moja ya wachezaji ambao Lionel Scalon anawatumia kama zana yake ya mashambulizi kwani mchezaji huyu amekuwa akiwaongoza wenzake vyema kabisa kwenye kupata ushindi. 2.75 ndio Odds za nahodha huyu wa Argentina kushinda tuzo ya Golden Boot. Je Beti yako unaiweka kwa nani leo?
Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kuchuakua tuzo hii mshambualiaji wa Real Madrid na timu ya Taifa ya Ufaransa, Kylian Mbappe ambaye amekuwa na kiwango kikubwa kabisa tokea mwanzo wa mashindano haya. Mbappe mpaka sasa ameweza kupachika mabao 7 na kutoa pasi mbili za mabao.
Kwa uwezo wa mshambuliaji huo wa kufanya vyema umekuwa si kitu cha kushangaza kwani takribani miaka yote huwa akifanya hivyo. Lakini pia ukomavu wake kwenye uongozi na kupiga soka safi unamfanya kuwa mchezaji ambaye anaweza akachukua tuzo hiyo. Bashiri leo Mbappe kushinda tuzo hiyo hapa.
Nafasi yake ya kushinda tuzo ya Golden Ball itaongezeka kwa kiasi kikubwa. Kwa sasa, anaonekana kuwa mmoja wa vinara wakuu wa tuzo hiyo kutokana na mchango wake mkubwa katika mafanikio ya timu ya taifa ya Ufaransa. Ufaransa itacheza mechi yao ya Robo Fainali dhidi ya Morocco kesho huku wakipewa nafasi kubwa ya kushinda.