×

Rais Samia Aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu Chamwino

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma, tarehe 16 Julai, 2026.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Julai 16, 2026 ameongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma.

Kikao hicho kimewakutanisha mawaziri na viongozi mbalimbali wa Serikali kwa ajili ya kujadili masuala muhimu yanayohusu utekelezaji wa majukumu ya Serikali na maendeleo ya taifa.

Leave a Comment