
📍 Dar es Salaam | Full-time
Tunatafuta Marketing & Advertising Officer mwenye uwezo, ubunifu na uzoefu katika Advertising Sales, hasa katika sekta ya Media, kujiunga na timu yetu na kusimamia utafutaji na uuzaji wa matangazo kupitia majukwaa yetu ya kidijitali.
💡 MAJUKUMU MAKUU
- Kutafuta na kujenga mahusiano na wateja wa matangazo.
- Kubuni, kuandaa na kuuza mawazo ya matangazo kwa wateja.
- Kusimamia utekelezaji wa kampeni za matangazo kupitia:
📱 Instagram
▶️ YouTube
📘 Facebook
🌐 Website - Kufuatilia mahitaji ya wateja na kuhakikisha matangazo yanatekelezwa kwa ufanisi.
✅ SIFA MUHIMU
- Uzoefu katika Advertising Sales, hasa kwenye Media House.
- Awe mkazi wa Dar es Salaam.
- Uwezo wa kubuni na kuwasilisha ideas za matangazo kwa mteja.
- Uwezo mzuri wa kutumia Smartphone na Laptop.
- Mawasiliano mazuri kwa Kiswahili na Kiingereza.
- Uwezo wa kufanya kazi kwa malengo na kujenga mahusiano mazuri na wateja.
⭐ ITAKUWA FAIDA ZAIDI UKIWA NA:
- Ujuzi wa kupiga picha na video.
- Uwezo wa kufanya Video Editing.
- Uzoefu wa kutumia AI Tools katika kazi za ubunifu na matangazo.
- Uzoefu wa kufanya kazi katika Media House.
💰 TUNAKUPA:
🔥 Posho + Commission NONO
🔥 Fursa ya kufanya kazi na brand kubwa
🔥 Mazingira ya kukuza uzoefu na uwezo wako katika sekta ya Media & Advertising.
📩 TUMA MAOMBI YAKO SASA!
📞 Simu: 0799 444 036
📧 Email: [email protected]
Jiunge nasi, tumia ubunifu wako kutengeneza fursa na kukuza biashara kupitia nguvu ya Digital Media! 🚀