×

Meridianbet Yafungua Mbio za Zawadi, Expanse Epic Spins Yaweka TSh Milioni 6

Meridianbet imefungua milango ya mashindano mapya ya kasino yanayokuja na ushindani pamoja na zawadi nono kupitia Expanse Epic Spins, Epic Rewards. Mashindano haya yanaendelea hadi Agosti 21, 2026, huku wachezaji wakitakiwa kuingia kwenye michezo ya Expanse inayopatikana ndani ya meridianbet na kuanza safari ya kuwania nafasi ya kuongoza msimamo.

Kwenye mashindano haya, kila hatua kuelekea kileleni inaweza kuwa muhimu, kwani nafasi ya msimamo itaamuliwa kwa kuzingatia jumla ya kiasi kilichowekezwa kama dau kwenye michezo inayoshiriki. Dau la chini kwa kila mzunguko ni TSh 500, hivyo wachezaji wanaweza kuingia kwenye mbio za kuongoza huku wakifuatilia nafasi zao kadri mashindano yanavyosonga.

Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Kivutio kikubwa ni Prize Pool ya TSh milioni 6, ambapo kinara wa mashindano ataondoka na TSh 1,500,000. Nafasi ya pili itapata TSh 1,000,000, huku mshindi wa tatu akibeba TSh 600,000. Lakini zawadi haziishii kwenye nafasi 3 za juu, kwani nafasi ya nne na tano kila moja inalipwa TSh 450,000.

Kwa wanaomaliza nafasi ya 6 hadi 10, kila mmoja atapata TSh 200,000, huku washiriki wanaoshika nafasi ya 11 hadi 20 wakipewa TSh 100,000 kila mmoja. Hii inafanya mbio za nafasi zote 20 za juu kuwa na presha yake, kwani kila nafasi inaweza kubadilisha thamani ya zawadi inayosubiri mwisho wa mashindano.

Muda unasonga na tarehe ya mwisho ni Agosti 21, hivyo Expanse tayari imeweka jukwaa kwa wanaopenda michezo ya kasino yenye ushindani wa kweli. Ingia ndani ya Meridianbet, cheza michezo ya Expanse kwa dau la kuanzia TSh 500 kwa kila raundi, fuatilia, na uone kama unaweza kujisogeza karibu na sehemu yako ya TSh milioni 6.

Leave a Comment