The House of Favourite Newspapers

Ziara ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Wilayani Chato

0

IMGS9419Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasha gari la wagonjwa likiwa ni moja kati ya mawili yaliyotolewa msaada na Bibi Merete Trolle wa Denmark akisaidiwa kulisafilisha hadi hapa nchini na Mgodi wa Geita Gold Mine. Makabidhiano hayo yalifanyika kwenye hospitali ya wilaya ya Chato Machi 16, 2016.IMGS9597Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia, kushoto kwake ni Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Mh. Mwigulu Nchemba na anayefuata ni Mbunge wa Geita Vijijini kwa tiketi ya CCM, Mh. Joseph Kasheku (Msukuma).

IMGS9538Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua duka la dawa la MSD baada ya kulizindua kwenye hospitali ya wilaya ya Chato Machi 16, 2016. Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya MSD, Profesa Mtulia.

IMGS9377 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole Joyce Thobias na mwanae Jonathan Mbarak ambaye amelazwa katika hospitali ya Wilaya ya Chato akimuuguza mwanae majeraha ya moto Machi 16,2916. mheshimiwa Majaliwa alikuwa katika siku ya kwanza ya ziara yake mkoani Geita.

IMGS9615

Waziri Mkuu, Kasim Majaliiwa akihutubia mkutano wa hadhara mjini Chato , Machi 16, 2016.

Leave A Reply