Rais Dkt. Samia Awaapisha Viongozi Wateule, Ikulu Ndogo Ya Tunguu, Zanzibar – Picha
Global Publishers September 2, 2026 432 views 0 Comments
SHARE THIS:
Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akimuapisha, Jumanne Abdallah Sagini kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar tarehe 02 Septemba, 2026.
Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwaapisha Wakuu wa Mikoa na Katibu Tawala wa Mkoa, Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar Septemba 02, 2026.
Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akimuapisha Alexander Pastory Mnyeti kuwa Mkuu wa Mkoa wa Geita kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar tarehe 02 Septemba, 2026.Rais Samia akimuapisha Stanslaus Haroon Nyongo kuwa Mkuu wa Mkoa wa Pwani.Rais Samia Suluhu Hassan, akimuapisha CP Salum Rashid Hamduni kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza.Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akimuapisha Ndugu Richard Marcellino Kayombo kuwa Katibu Tawala, Mkoa wa Pwani kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar tarehe 02 Septemba, 2026.