
Umeshawahi kuona mchezo ambao paka na panya wanaweza kufanya kila mzunguko uwe ya kusisimua? Sasa hilo limewezekana kupitia Cat ’n’ Rat, mchezo mpya wa sloti kutoka GameArt unaopatikana kwenye Meridianbet. Kuanzia sasa hadi Oktoba 13, 2026, kipindi cha utangulizi kinakupa nafasi ya kuingia kwenye ulimwengu huu wa paka na panya, ambapo kila mzunguko unaweza kufungua mlango wa tukio jipya.
Mchezo huu unaanza kwa urahisi lakini unaendelea kufungua vipengele kadri unavyocheza. Ukipata alama tisa zinazolingana, Card Reveal inafunguka. Ukipata Scatter tatu kwenye gridi ya 3×3, unaingia kwenye mizunguko ya bure yenye nafasi ya hadi mizunguko 25 ya bure. Hapo ndipo safari ya kweli inaanza.
Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Kwenye mizunguko ya bure, Dead Cat anaweza kutanuka kwenye reel nzima. Uwezo huo unamruhusu kuchukua nafasi ya alama nyingine na kusaidia kukamilisha mstari wa ushindi. Lakini panya naye ana siri yake. Rancid Rat huleta vizidishi vinavyoweza kuongeza thamani ya mchanganyiko unaoshinda pale anapotokea pamoja na mchanganyiko wenye ushindi.
Na kama Scatter nyingine zitatokea wakati wa mizunguko ya bure, mizunguko inaweza kuongezwa tena. Hii inamaanisha unaweza kuendelea na mizunguko ya bonasi kwa muda mrefu zaidi, huku vizidishi vikiendelea kutoa msisimko kwenye safari.
Kwa hiyo, kama unatafuta burudani mpya ya sloti, Cat ’n’ Rat inakusubiri Meridianbet. Kipindi cha utangulizi kinaendelea hadi Oktoba 13, 2026, na hii ni nafasi ya kumjua Dead Cat na Rancid Rat kabla ya wengine.