Dar es Salaam. Global TV Online imetangaza nafasi ya kazi ya Meneja wa Uundaji wa Maudhui ya Kidijitali (Digital Content Creation Manager), ikiwakaribisha waombaji wenye taaluma ya uandishi wa habari, uzoefu wa kusimamia maudhui ya mitandao ya kijamii na uwezo wa kuongoza timu za uzalishaji wa maudhui.
naweza kuongoza timu na kutengeneza maudhui yanayovutia watazamaji wa YouTube na Instagram? Jiunge nasi! 🚀
📌 SIFA MUHIMU
✅ Taaluma ya Uandishi wa Habari.
✅ Uzoefu wa kutengeneza na kusimamia maudhui ya YouTube na Instagram.
✅ Uwezo wa kuongoza reporters, cameramen na video editors.
✅ Ubunifu na uwezo wa kutumia takwimu kuongeza views na kukuza hadhira.
🎯 JUKUMU LAKO
Kuongoza timu, kupanga na kusimamia uzalishaji wa maudhui bora, yenye mvuto na yanayozingatia maadili ya habari.
📩 TUMA MAOMBI
Tuma CV na viungo vya kazi ulizosimamia kupitia:
✉️ [email protected]
📞 Kwa maelezo zaidi: 0799 444 036
🗓️ Mwisho wa maombi: 30 Oktoba 2026
📍 Kituo cha kazi: Dar es Salaam
Unamfahamu anayefaa? Mtumie tangazo hili! 🙌
Mwisho wa kutuma maombi ni Oktoba 30, 2026, huku kituo cha kazi kikiwa Dar es Salaam.
