×

Serikali Yaweka Wazi Mafanikio Ya Ziara Za Rais Samia Uganda na Ethiopia

Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu Ndugu Bakari Machumu, amezungumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio na fursa zitokanazo na Ziara ya Kitaifa ya siku mbili ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, nchini Uganda iliyofanyika kati ya tarehe 18 na 19, Novemba 2026 pamoja na Ziara ya Kikazi ya siku mbili iliyofanyika kati ya tarehe 22 na 23 nchini Ethiopia ambapo, Mhe. Rais Dkt. Samia alishiriki Mkutano wa Tano wa Kimataifa wa Afya ya Umma Barani Afrika (CPHIA 2026), pamoja na kuzindua Mpango Elekezi wa Kuboresha Afya ya Mama na Mtoto Barani Afrika.
Profesa Makame Mnyaa Mbarawa, Waziri wa Uchukuzi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akizungumza kwenye mkutano na Waandishi wa Habari, Ikulu Jijini Dar es Salaam kuhusu mafanikio na fursa zitokanazo na Ziara ya Kitaifa ya siku mbili ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, nchini Uganda iliyofanyika kati ya tarehe 18 na 19, Novemba 2026.
Mheshimiwa Mohamed Omary Mchengerwa, Waziri wa Afya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akizungumza kwenye mkutano na Waandishi wa Habari, Ikulu Jijini Dar es Salaam kuhusu mafanikio na fursa zitokanazo Ziara ya Kikazi ya siku mbili iliyofanyika kati ya tarehe 22 na 23 nchini Ethiopia ambapo, Mhe. Rais Dkt. Samia alishiriki Mkutano wa Tano wa Kimataifa wa Afya ya Umma Barani Afrika (CPHIA 2026), pamoja na kuzindua Mpango Elekezi wa Kuboresha Afya ya Mama na Mtoto Barani Afrika.

Mheshimiwa James Kinyasi Millya, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akizungumza kwenye mkutano na Waandishi wa Habari, Ikulu Jijini Dar es Salaam kuhusu mafanikio na fursa zitokanazo na Ziara ya Kitaifa ya siku mbili ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, nchini Uganda iliyofanyika kati ya tarehe 18 na 19, Novemba 2026 pamoja na Ziara ya Kikazi ya siku mbili iliyofanyika kati ya tarehe 22 na 23 nchini Ethiopia ambapo, Mhe. Rais Dkt. Samia alishiriki Mkutanowa Tano wa Kimataifa wa Afya ya Umma Barani Afrika (CPHIA 2026), pamoja na kuzindua Mpango Elekezi wa Kuboresha Afya ya Mama na Mtoto Barani Afrika.

Mganga Mkuu wa Serikali Profesa Bruno Sunguya akizungumza kwenye mkutano na Waandishi wa Habari, Ikulu Jijini Dar es Salaam kuhusu mafanikio na fursa zitokanazo na Ziara ya Kikazi ya siku mbili iliyofanyika kati ya tarehe 22 na 23 nchini Ethiopia ambapo, Mhe. Rais Dkt. Samia alishiriki Mkutanowa Tano wa Kimataifa wa Afya ya Umma Barani Afrika (CPHIA 2026), pamoja na kuzindua Mpango Elekezi wa Kuboresha Afya ya Mama na Mtoto Barani Afrika.

Leave a Comment