×

Nadia’s House of Beauty yadhamini Roll Football

1
Nadia Hazmat (wa kwanza kushoto) akiwa na Rais wa Roll Football, Noel Kiunsi (katikati)  pamoja na mwalimu wa mchezo wao.

2
…Wakiwasikiliza wachezaji wa Roll Football (hawapo) pichani.

3

Nadia Hazmat akizungumza jambo.

4
Rais wa Roll Football, Noel Kiunsi akizungumza jambo.

5
Wakijadiliana kuhusu bajeti ya safari ya Kenya.

6
…Wakiwa na wachezaji wa Roll Football.

7
Wachezaji wa Roll Football wakifuatilia kwa makini kikao hicho.

8
Watoto wadogo ambao hucheza Roll Football.

9
Nadia akisisitiza jambo kwa wachezaji hao.

MMILIKI wa Nadia House of Beauty ambayo ni saluni maarufu kwa ajili ya upambaji ya Msasani jijini Dar es Salaam, Nadia Hazmat,  juzi alikuwa mmoja wa wadhamini wakuu katika kusaidia mchezo wa Roll Football nchini ili kufanikisha safari ya kwenda kushiriki mashindano hayo ya  East African Cup Championship yatakayofanyika Nairobi nchini Kenya.

Nadia alisema  licha ya mchezo huo kutothaminika nchini ameamua kujitokeza kuwasaidia kwa kuwa anaamini ni mchezo mzuri na pia utasidia ajira kwa vijana wengi ambao hawana kazi.

(Picha na Imelda Mtema / GPL)

Leave a Comment