
Mzungumzaji na mtangazaji Harris Kapiga, akiwasilisha mada wakati wa semina ya mimi ni nani? shtuka mapema iliyofanyika jana Mwenge jijini Dar.

Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji Clouds Media Group, Ruge Mutahaba akisisitiza jambo wakati wa semina hiyo jana.

Mhariri wa Gazeti la Uwazi, Elvan Stambuli akielezea manufaa wanayoweza kuyapata wasomaji wa magazeti ya Global Publishers ikiwemo fursa ya kujishindia nyumba kupitia shindano la Shinda nyumba linaloendelea kwa sasa.

Mtangazaji wa Clouds FM kupitia kipindi chake cha Amplifaya, Millard Ayo naye akitoa mada kwenye semina hiyo.


Watoa mada wakizidi kuwasilisha mada zao kwa wasikilizaji waliohudhuria semina hiyo (hawapo pichani).





Washiriki wakifuatilia mada mbalimbali wakati wa semina hiyo jana jijini Dar.

Meza kuu nao wakifuatilia kwa makini semina hiyo.
PICHA NA GPL