Straika wa West Ham, Carroll (kushoto) akinyang’anywa mpira na beki wa Arsenal, Laurent Koscielny.
West Ham: Adrian, Tomkins, Reid, Ogbonna, Antonio, Kouyate, Noble, Cresswell, Lanzini, Payet, Carroll.
Subs: Randolph, Valencia, Obiang, Moses, Emenike, Hendrie, Oxford.
Goal: Carroll 44, 45, 52
Arsenal: Ospina, Bellerin, Gabriel, Koscielny, Monreal, Elneny, Coquelin, Iwobi, Ozil, Sanchez, Welbeck.
Subs: Gibbs, Mertesacker, Giroud, Walcott, Ramsey, Chambers, Cech.
Goal: Ozil 18, Sanchez 35, Koscielny 70
Referee: Craig Pawson (South Yorkshire)
Carroll (kulia) akijaribu kupiga.
Mashabiki wa West Ham wakishangilia timu yao.
Ozil wa Arsenal akipiga shuti lililompita kipa wa West Ham, Adrian kuiandikia timu yake goli la kwanza dakika ya 18.
Mesut Ozil akikimbia kushangilia goli lake hilo.
…Arsenal wakishangilia goli hilo.
Iwobi (kulia) akijaribu kutafuta goli la pili.
Holding midfielder Francis Coquelin akiruka kichwa baada ya kupigiwa mpira na Ozil.
Wakigombea mpira
Carroll (kushoto) akipongezwa na Michail Antonio (katikati) na Dimitri Payet baada ya kukamilisha hat-trick dakika ya 52.
Koscielny akifunga goli.
Arsenal wakishangilia.
Sanchez (kushoto) akishangilia goli na mchezaji wa Kimataifa wa Nigeria, Iwobi.
Sanchez (kulia) akisali baada ya kufunga tena tangu mechi yao dhidi ya Tottenham, March 5 walipotoa droo ya 2-2.
Carroll (wa pili kulia) akiangalia mpira ukitumbukia golini.
Carroll akishangilia.
Carroll (kulia) akikimbia kushangilia.
Andy Carroll (kushoto) akifunga kwa kichwa.
Foul


Dakika ya 35, Alexis Sanchez (kushoto) akishangilia.
Carroll (katikati) baada ya kutupia bao.
Captain Koscielny (kati) akisawazisha dakika ya 70.
Carroll (kushoto) aliumia baada ya kuchezewa vibaya.
Koscielny (kati) naye akaumia.
Baada tu ya kuanza kipindi cha pili, Carroll akaifungia West Ham
….Wakiwania mpira.
PICHA NA DAILY MAIL