×

Amatus Liyumba afariki dunia

BREAKINGNEWS3
LIYUMBA

Amatus Liyumba enzi za uhai wake.

Mkurugenzi wa zamani wa Utawala na Utumishi wa Benki Kuu ya Tanzania ( BOT), Amatus Liyumba amefariki dunia leo, msiba upo nyumbani kwake maeneo ya Triple Seven, Mikocheni jijini Dar es Salaam.

 

 

Leave a Comment