×

Kim Kardashian Kumbwaga Kanye West

_kim-kardashian-kanye-west-Kanye West  na Kim Kardashian

MWANAMITINDO Kim Kardashian huenda akambwaga mumewe Kanye West kwenye suala la kumdizainia nguo baada ya kuonekana kushindwa kumpendezesha kama ilivyokuwa mwanzo wa mapenzi yao ambapo alionekana kumpatia. Chanzo cha habari kilidai kuwa, Kanye alikuwa akibuni

mavazi mazuri kwa mkewe na kumfanya aonekane bomba zaidi lakini vazi la Top ya Adidas na gauni ya silk vimemfanya aonekane kama ‘kibibi’ fulani ambapo wengi walisema hakupendeza.

“Kinguo alichomvalisha kwa wakati huu kimemchukiza hivyo mashabiki wamemshauri kuachana na Kanye, aangalie uwezekano wa kutafuta dizaina mwingine ambaye atampatia,” alisema sosi.

KUFAHAMU YOTE HAYA NA MENGINE, NUNUA GAZETI LA IJUMAA, LEO April 22, 2016

KUNUNUA NA KUSOMA MAGAZETI YA GLOBAL PUBLISHERS ONLINE, INGIA HAPA==>VODACOM M-PAPER APP

*********

JIUNGE NA SOCIAL MEDIA ZETU:

KWA HABARI ZA KITAIFA, KIMATAIFA, MASTAA NA MIKASA YA KUSISIMUA

INSTAGRAM: @Globalpublishers

TWITTER: @GlobalHabari

FACEBOOK: @GlobalPublishers

SUBSCRIBE YOU TUBE: GlobalPublishers

GLOBAL TV ONLINE: www.globaltvtz.com

HADITHI ZA KUSISIMUA NA MBINU ZA UJASIRIAMALI, ERIC SHIGONGO FACEBOOK PAGE: @shigongotz

Leave a Comment