×

malaika anaswa akizurura na mdoli

malaikaMalaika

Stori: Andrew Carlos
Binti anayefanya poa kwenye gemu la muziki kwa sasa, Malaika hana mtoto lakini inavyoonekana anatamani sana kupakata mtoto baada ya hivi karibuni kunaswa akizurura na mdoli mtaani.

Ilikuwa mitaa ya Msasani jijini Dar ambapo mwanadada huyo alibambwa na paparazi akiwa kwenye mishe zake huku kwapani akiwa amepakata mdoli wa sungura.

Alipoulizwa why? Kwa nini alisema: “Jamani napenda tu kupakata kitu nikiwa matembezini. Yawezekana ni kwa sababu napenda sana watoto ndiyo maana najisikia raha ninapokuwa nimepakata kitu kama hiki.”

Leave a Comment