×

Najma Amshangaa Gigy

naj (1)

Najma Datan ‘Naj’

STORI: HAMIDA HASSAN, WIKIENDA
DAR ES SALAAM: Msanii wa Bongo Fleva, Najma Datan ‘Naj’ anamshangaa Video Queen Gift Stanford ‘Gigy Money’ kwa kudai kuwa alimpigia simu, kisa wivu kwa mpenzi wake, Baraka Da Prince wakati hamjui yeye wala namba yake.

GIGGY MONEY GLOBAL TV ONLINE (2)

Gigy Money

Akichonga na Wikienda, Najma alifunguka kuwa, hamjui Gigy anayesema kuwa alimpigia simu kumtahadharisha ukaribu wake na Baraka na kwamba alimsingizia kwani hajawahi kuonana naye. “Huyo Gigy atakuwa anatafuta kiki, sina mazoea na hao Ma-video queen na huyo Gigy simfahamu,” alisema Najma.

Kwa upande wake Gigy alisema kuwa yeye amekuwa karibu na Baraka kama msanii mwenzake, alisikia Najma ana wasiwasi lakini hawezi kutafuta kiki kwa sababu anaweza kusimama mwenyewe.

 

KUNUNUA NA KUSOMA MAGAZETI YA GLOBAL PUBLISHERS ONLINE, INGIA HAPA==>VODACOM M-PAPER APP

*********

JIUNGE NA SOCIAL MEDIA ZETU:

KWA HABARI ZA KITAIFA, KIMATAIFA, MASTAA NA MIKASA YA KUSISIMUA

INSTAGRAM: @Globalpublishers

TWITTER: @GlobalHabari

FACEBOOK: @GlobalPublishers

SUBSCRIBE YOU TUBE: GlobalPublishers

GLOBAL TV ONLINE: www.globaltvtz.com

HADITHI ZA KUSISIMUA NA MBINU ZA UJASIRIAMALI, ERIC SHIGONGO FACEBOOK PAGE: @shigongotz

Leave a Comment