Memba wa Kundi la Navy Kenzo, Aika Mareale na Emmanuel Mkono ‘Nahreel’.
STORI: IMELDA MTEMA, WIKIENDA
DAR ES SALAAM: Memba wa Kundi la Navy Kenzo, Aika Mareale amefunguka kuwa ana wivu wa kupindukia kwa memba mwenzake ambaye ni mpenzi wake, Emmanuel Mkono ‘Nahreel’ wanaotamba na wimbo wao wa Kamatia Chini kwani kuna kipindi huwa anapata wakati mgumu hasa warembo wanapokatiza mbele ya jamaa huyo.

Aika aliliambia Wikienda kuwa kila mwanadamu ana moyo na kuna watu wengine wanaweza kuwaona kuwa wapo tu wala hawaoneani wivu lakini ukweli ni kwamba ana wivu na mpenzi wake huyo.
“Watu wanadhani sina wivu lakini ninao kinoma lakini nagugumia kimoyomoyo,” alisema Aika.
KUNUNUA NA KUSOMA MAGAZETI YA GLOBAL PUBLISHERS ONLINE, INGIA HAPA==>VODACOM M-PAPER APP
*********
JIUNGE NA SOCIAL MEDIA ZETU:
KWA HABARI ZA KITAIFA, KIMATAIFA, MASTAA NA MIKASA YA KUSISIMUA
INSTAGRAM: @Globalpublishers
TWITTER: @GlobalHabari
FACEBOOK: @GlobalPublishers
SUBSCRIBE YOU TUBE: GlobalPublishers
GLOBAL TV ONLINE: www.globaltvtz.com
HADITHI ZA KUSISIMUA NA MBINU ZA UJASIRIAMALI, ERIC SHIGONGO FACEBOOK PAGE: @shigongotz
