Hii ndiyo ngoma mpya kutoka kwa msanii anayefanya vyema nchini Kenya, Rabbit ‘Kaka Sungura’ iitwayo Besha Shigana. Hayo ni maneno ya Kikuyu yanayomaanisha ‘kiasi gani cha pesa.’ Ngoma hiyo imetengenezwa na produza Richy Bitz.
You must be logged in to post a comment.
hio ni kali