×

Exclusive: Rabbit ‘Kaka Sungura’ Aachia Ngoma Mpya

 kaka sungura (3)

Hii ndiyo ngoma mpya kutoka kwa msanii anayefanya vyema nchini Kenya, Rabbit ‘Kaka Sungura’ iitwayo Besha Shigana.  Hayo ni maneno ya Kikuyu yanayomaanisha ‘kiasi gani cha pesa.’ Ngoma hiyo imetengenezwa na  produza Richy Bitz.

kaka sunguraISIKIE NGOMA YENYEWE HAPA

1 Comment

Leave a Comment