×

Kanisa la Sinza Christian Center Latupiwa Vyombo Nje

SAMSUNG CSC

Kanisa la Sinza Christian Center limetupiwa nje vyombo vyake nje kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kutokana na kanisa hilo kudaiwa deni la zaidi ya Sh. milioni 100. Aliyetekeleza agizo hilo leo ni dalali aliyepewa tenda hiyo Bw. Joshua ambaye aliteuliwa na Mahakama na jmiliki wa jengo hilo Bw. Prosper Rwendera.

Akizungumza wakati wa hamisha hamisha hiyo, mke wa mmiliki  wa jengo hilo, Bi. Patricia Prosper alisema; “Huyu aliyepanga hapa hakufuata utaratibu wowote na ndiyo maana tukapewa jengo letu.” 

Alipotafutwa msemaji wa Kanisa ambaye ni Askofu anayedaiwa kuvamia jengo hilo, hakupatikana kuzungumzia sakata hilo na hata waumini wa kanisa hilo walipotafutwa walikataa kwa madai hawana mamlaka ya kuzungumzia lolote kuhusiana na sakata hilo.

SAMSUNG CSCHili ni eneo la Kanisa hilo.

SAMSUNG CSC

Viti  vyote vikiwa vimetolewa nje.

SAMSUNG CSCVifaa vikiwa vimetolewa nje. SAMSUNG CSCMagari yakiwa yanatolewa nje

SAMSUNG CSC Vitu vikiwa nje ya Jengo hilo ambapo mpaka sasa kuna sinto fahamu vinapelekwa wapi. SAMSUNG CSCVikombe nje. SAMSUNG CSCWametoa vitu vyote.SAMSUNG CSCMagodoro na vitanda vyote nje.

SAMSUNG CSCBaadhi ya Magari yaliyotolewa katika Jengo hilo ambapo hapo awali ilikuwa ni Kanisa

SAMSUNG CSCKushoto kwa mbali ni Mke wa Miiliki wa Jengo hilo Bi. Patricia Prosper akiendelea na majukumu huku pembeni vijana wakipata maelekezo ya kuendelea kutoa vitu.

Leave a Comment