Foleni ya kuhakiki kadi za wanachama
Mama Fatma Karume akitoa neno kabla ya kuanza zoezi la Uchaguzi Mkuu wa Yanga, katika Ukumbi wa Diamond Jubilee Leo.
Mgombea nafasi ya Uenyekiti wa Klabu ya Yanga kwenye uchaguzi huo, Yusuph Manji (kulia) akiteta jambo na mgombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti, Frank Sanga katika Ukumbi wa Diamond Jubilee Leo.
Yusuph Manji na Frank Sanga wakijadiliana.
Wakisubiri kuanza kwa uchaguzi.
Mwanachama wa Yanga wakisoma Gazeti la Championi katika Ukumbi wa Diamond Jubilee Leo.
Wanachama wa Yanga wakisoma Gazeti la Championi wakati wakisubiri zoezi la uchaguzi kuanza.
Wanachama wa Yanga wakisoma Gazeti la Championi.
Wanachama wa Yanga wakisoma Gazeti la Championi.
Wataalam wa TEHAMA wakihakiki kadi za wanachama wa Yanga kabla ya uchaguzi.
