×

Mapichaz: Zoezi la Uchaguzi Mkuu wa Yanga Linavyoendelea Dar

FOLENI YA KUHAKIKI KADI ZA WANACHAMAFoleni ya kuhakiki kadi za wanachama

MAMA FATMA KARUME AKITOA NENOMama Fatma Karume akitoa neno kabla ya kuanza zoezi la Uchaguzi Mkuu wa Yanga, katika Ukumbi wa Diamond Jubilee Leo.

MGOMBEA NAFASI YA UENYEKITI YUSUPH MANJI (KULIA) AKITETA JAMBO NA MGOMBEA NAFASI YA MAKAMU MWENYEKITI FRANK SANGA (1)Mgombea nafasi ya Uenyekiti wa Klabu ya Yanga kwenye uchaguzi huo, Yusuph Manji (kulia) akiteta jambo na mgombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti, Frank Sanga katika Ukumbi wa Diamond Jubilee Leo.

MGOMBEA NAFASI YA UENYEKITI YUSUPH MANJI (KULIA) AKITETA JAMBO NA MGOMBEA NAFASI YA MAKAMU MWENYEKITI FRANK SANGA (2)Yusuph Manji na Frank Sanga wakijadiliana.yanga (3)Wakisubiri kuanza kwa uchaguzi.

WANACHAMA WA YANGA WAKISOMA CHAMPIONI (1)Mwanachama wa Yanga wakisoma Gazeti la Championi katika Ukumbi wa Diamond Jubilee Leo.

WANACHAMA WA YANGA WAKISOMA CHAMPIONI (2)Wanachama wa Yanga wakisoma Gazeti la Championi wakati wakisubiri zoezi la uchaguzi kuanza.

WANACHAMA WA YANGA WAKISOMA CHAMPIONI (3)Wanachama wa Yanga wakisoma Gazeti la Championi.

WANACHAMA WA YANGA WAKISOMA CHAMPIONI (4)Wanachama wa Yanga wakisoma Gazeti la Championi.

WATAALAM WA KUHAKIKI KADI ZA WANACHAMA WAKIWA KAZINIWataalam wa TEHAMA wakihakiki kadi za wanachama wa Yanga kabla ya uchaguzi.

yanga (2) PICHA NA RICHARD BUKOS/GPL

Leave a Comment