×

Pichaz: Yanga Walivyofanya Uchaguzi Mkuu leo

AYUB NYENZI IMG_0747Wanachama wa klabu ya Yanga wakipiga kura.IMG_0763Mwanachama mwenye ulemavu akisaidiwa kupiga kura.IMG_0774Akina mama nao hawakuwa nyuma kuhakikisha wanapiga kura kuchagua viongozi wanaowataka.IMG_0811 KATIBU WA BARAZA LA WAZEE WA YANGA, MZEE AKILIMALI NAE AKIPIGA KURAZoezi la upigaji kura likiendelea.

MANJI AKIPIGA KURAMgombea nafasi ya Uenyekiti wa Yanga, Yusuf  Manji akipiga kura yake.MANJI AKILONGA BAADA YA KUPIGA KURA  Manji akihojiwa na wanahabari.MANJI NA MAMA KARUMEManji akisalimiana na Fafma Karume.

MANJI AKIAGA BAADA YA KUPIGA KURAManji akiwaaga wanachama na kuondoka ukumbini hapo baada ya kupiga kura.MDAU WA YANGA, CHIEF AKIPIGA KURA MENEJA WA YANGA AFIDH SALEHZoezi likiendelea.

PICHA NA RICHARD BUKOS/GPL

Leave a Comment