×

Prodyuza Manecky Auaga Ukapera

manecky

Prodyuza kutoka AM Records, Emmanuel Saimon Sewando ‘Manecky’ jana aliuaga ukapera baada ya kufunga ndoa na Lilian.
Manecky na Lilian ni wapenzi wa siku nyingi na wamejaliwa kupata mtoto mmoja wa kiume.

Kwa habari zaidi fuatilia tovuti hii na magazeti pendwa ya Global Publishers.

Baadhi ya pongezi kutoka kwa mastaa mbalimbali Bongo kuhusu harusi hiyo;

Hongera sana Wangu Yani naumia nimeshindwa kuja ila pamoja sana @manecky_amrec

A photo posted by Kajala Masanja (@new_kajala) on

Hongera ndugu yangu…

A video posted by tunda man wa tip top (@tundamantz) on

Msikilize Manecky alipofanya mahojiano na Global TV Online 2014

Leave a Comment