×

Madeama Watua Dar, Kuwakabili Yanga J’mosi

MADEAMA (1) MADEAMA (2) MADEAMA (3) MADEAMA (4) MADEAMA (5) MADEAMA (6) MADEAMA (7) MADEAMA (8)
KIKOSI cha Timu ya Medeama ya Ghana mchana huu kimewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar tayari kwa mchezo wao utakaochezwa Julai 16 mwaka huu katika Uwanja wa Taifa jijini Dar dhidi ya Yanga.Timu hiyo itacheza na Yanga katika mchezo wa Kundi A kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika.

Katika kundi hilo, kinara ni TP Mazembe wanaoongoza wakiwa na pointi sita wakifuatiwa na MO Bejaia wenye pointi nne wakati Medeama wakishika nafasi ya tatu kwa kuwa na pointi moja huku Yanga wakiburuza mkia wakiwa hawana pointi.

PICHA NA RICHARD BUKOS / GPL

Leave a Comment