Pichaz: Zitto Kabwe Alivyofunga ndoa Zanzibar Global Publishers July 15, 2016 0 Comments SHARE THIS: Mbunge wa Kigoma mjini, Zitto Kabwe jana aliuacha rasmi ukapera baada ya kufunga ndoa na mpenzi wake Anna Mtura aliyemvisha pete ya uchumba miezi miwili iliyopita, ndoa na tafrija zote zilifanyika mjini Nungwi visiwani Zanzibar. SHARE THIS: