David mkazi wa Mwembe Yanga, Dar akinunua Gazeti la Championi kutoka kwa Theresia Jiliani.Hassan Pachengo akinunua nakala ya Gazeti la Championi kwa ajili ya kujishindia tiketi ya kwenda kuona mechi ya Yanga na Medeama leo.
David mkazi wa Mwembe Yanga, akinunua Gazeti la Championi kutoka kwa Theresia Jiliani.
Nuru Nassor mkazi wa Temeke akinunua Gazeti la Championi kwa ajili ya kujishindia tiketi ya kuangalia mechi ya Yanga na Medeama leo.